Makada
wa CCM wakiwa na kadi za uwanachama kwa wanachama wapya katika futari
ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV Jana Ijumaa Aug 3, 2012
katika ukumbi wa Hillandale Park iliyopo Silver Spring, Maryland Nchini
Marekani.
Mwenyekiti
wa tawi la CCM DMV Loveness Mamuya akipata picha na tikiti maji
lililochongwa kwa longo ya Chama cha CCM, katika futari ya pamoja
ilioandaliwa na tawi la CCM DMV Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa
Hillandale Park iliyopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani.
Tikiti maji lililochongwa kwa longo ya Chama cha Mapenduzi CCM
Baadhi ya waTanzania mbali mbali waliohudhuria kwenye futari hiyo ilioandaliwa na tawi la CCM DMV
Baadhi
ya waTanzania waliovalia rangi za chama cha CCM wakiwa kwenye futari ya
pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV, Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika
ukumbi wa Hillandale Park iliopo Silver Spring, Maryland Nchini
Marekani.
Makada
wa CCM Tawi la DMV shoto Mbunifu wa Ma Winny Casey Khanga Wrap
Designer, pamoja na Peter Ligate (Picha ya kulia) wakiwa katika mpango
mzima wa futari ya pamoja ilioandaliwa na wanatawi la CCM DMV
Watanzania
waliojumuika kwenye futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV,
Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliopo Silver
Spring, Maryland Nchini Marekani.
Mwenyekiti
wa tawi la CCM DMV Loveness Mamuya akiwakaribisha rasmi wageni
walikwa kwenye futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV, Jana
Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliopo Silver
Spring, Maryland Nchini Marekani.
Baadhi ya wanachama wa CCM Tawi la DMV wakipata picha ya pamoja baada ya futari walioiyanda
Wanachama wa CCM Tawi la DMV na baadhi ya wageni wawili kutoka Londan Uingereza
Wageni
wawili majirani wapendanao kutoka jijini London pia walihudhuria katika
futari hiyo ilioandaliwa na ilioandaliwa na tawi la CCM DMV Jana
Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliyopo Silver
Spring, Maryland Nchini Marekani
Katibu
wa CCM DMV Jacob Kinyemi, kushoto akipata picha ya pamoja na Halima
baada ya kumkabidhi rasmi kadi ya uwanachama wa CCM, Jana Ijumaa na
kuwa mwanachama rasmi wa CCM. (Picha na http://swahilivilla.blogspot.com/ )