"Sijarudi Tanzania Kutafuta Bwana" Ray C

Ray C
Ray C ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hakuja Tanzania kutafuta Bwana wa Kuolewa nae kama watu wanavyosema mitaani...amefunguka na kusema kuwa amerudi Dar kwa ajili ya kupumzika na kazi pia . Ray C alihamia nchini Kenya baada ya kuona ana Support kubwa ya Mashabiki kuliko Tanzania ..Hivi karibu ataachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Moyo Waniuma.