ROSE NDAUKA NA MAYA
AMA
kweli dunia imekwisha! Imebainika kuwa baadhi ya mastaa wa kike wa
tasnia mbalimbali Bongo, wamejiingiza kwenye magenge ya kufanya vitendo
vya ngono vya wenyewe kwa wenyewe (usagaji).Kwa mujibu wa uchunguzi wetu, baadhi ya mastaa hao wamekuwa malimbukeni
kwa kufanya vitendo vilivyo nje ya maadili ya Kitanzania likiwemo hili
la usagaji.
Wengi
huanza kwa kuigiza mavazi yasiyo na staha, kunywa pombe, kuvuta sigara
na madawa ya kulevya kisha baadaye hufikia hatua ya kufanya vitendo
hivyo.
chanzo mpekuzi blog