WAKATI bifu la wasanii Christine John ‘Sintah’ na Agnes Masogange likizidi kuchukua sura mpya kila kukicha, mwanadada Agnes amefunguka na kudai hata yenye ana baadhi ya picha za Sintah
amabazo zinamuonesha akiwa na msanii mmoja wa muziki wa kizazi kipya
wakifanya mapenzi amabazo walipiga pindi walipokuwa hotelini.Kauli ya Agnes imekuja baada ya Sintah
kudaiwa kuwa ndiye aliyetoa video yake ya utupu ambayo imekuwa
ikisambaa kwenye mitandao kitu ambacho kimemfanya kupoteza heshima yake
kwa jamii na watu wanaomzunguka.
Agnes akiongea na mwandishi wetu, alidai kuwa anafikiria kuzitoa picha hizo ambazo zinamuonesha Sintah akiwa mtupu chumbani ingawa anamuheshimu msanii ambaye yupo naye kwenye picha hizo kwani ni rafiki yake.
“Sintah ndiye alitoa video hizo na nitaendelea kumlaumu kila siku, lakini kama amefanya hivyo sawa ila ajue kwamba hata mimi nina picha zake za uputu ambazo alizipiga walipokuwa hotelini na msanii mmoja maarufu ingawa siwezi kumtaja jina,” alisema agnes.
Aliongeza kuwa baada ya kusambaa kwa picha zake kwenye mitandao alijikuta katika wakati mgumu kwani zimemdhalilisha kwa kiasi kikubwa, hivyo anapanga mashambulizi ya kulipa ili naye aweze kuonekana umbo lake hadharani kama alivyofanya kwake.
Kauli hiyo ya Agnes ilijibiwa na Sintah, ambae naye alidai kuwa hakuna mtu ambaye ana picha zake na anamshangaa Agnes kwa kuongea ishu hiyo kwani hakuna msanii yeyote wa kiume anayetoka naye kimapenzi.
“Sasa naona huyo mtoto ananitafutia makubwa mimi sitoki na msanii yeyote hapa Tanzania sasa inakuwaje anasema kuwa ana picha zangu za utupu, kama anazo sawa azitoe tu si anataka kunikomesha tutaoneshana tu,” alidai Sintah.