Mpinga Afunga Mafunzo Ya Bodaboda Dar
Mgeni
rasmi,Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani
Tanzania,SACP Mohamed Mpinga akikmkabidhi cheti kwa mmoja wa
wahitimu ya mafunzo ya waendesha piki piki yaliyofanyika chuo cha ufundi
stadi-VETA Chang'ombe jijini jana.Vijana wapatao 301 kutoka Temeke
walipewa vyeti
Kamanda Mpinga akiongea na wahitimu, L to R ACP
Missime RPC Temeke, Yakub Rajab TDA, Mkurugenzi manispaa temeke,M/kiti
Bodi ya ushauri, Mkuu wa chuo cha VETA, ACP Kahatano Traffic
Kuu
Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Mama
Nyalile akiwaasa bodaboda, L to R
kamanda Mpinga, M/kiti wa wa bodi ya ushauri
ya chuo Nd. Marealle, Mkuu wa chuo cha VETA Nd. Ng'andu