Trafiki Police Walipiza Kisasi Wampa Kichapo Cha Mbwa Mwizi Mwanajeshi
MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es SalaamTrafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa
wa amani na wasimamizi wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari
wa kikosi cha usalama barabarani mjini Moshi ambao majina yao
hayakufahamika walimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
katika kituo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya kutokea
kutoelewana....
mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace aliyeshikwa na trafiki hao.