Hawa
ni askari Polisi wa Mjini Iringa, usidhani walikuwa wakinunua mafuta ya
kula, Hapana. Ndani ya madumu hayo ya kuhifadhia mafuta walibaini
kuwepo kwa bangi iliyokuwa ikisafirishwa kupelekwa Tunduma, Mbeya
Kaimu
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Peter Kakamba akitoa na kuonesha
bangi kutoka katika moja ya madumu ya mafuta aina ya Oki.
Fadhil
Juma (kushoto) na Baraka Mwinuka (kulia) wakiwa ndani ya ofisi ya
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa baada ya kukamatwa na kilo 60 za bangi
zilizokuwa zimejazwa ndani ya madumu ya mafuta ya kula yaliyotobolewa
kwa chini.Chanzo: www.frankleonard.blogspot.com