je? wasomi wa jinsia hii wanaipeleka wapi elimu ya nchi yetu?


Tunatarajia baada ya kuhitimu elimu yake huyu mwanafunzi anaweza kuwa mwanasheria,daktari,mwandisi,mwalimu,askari, nk au mjuzi  ambaye nchi hii inamtegema. Je? kwa wahitimu wa jinsi hii wataipeleka wapi nchi yetu? katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolejia