Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.
Ali Mohamed Shein,akipokea Salam za Rambi rambi kutoka Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,akiongoza Ujumbe wa
Wabunge hilo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa
Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul
iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Anne Makinda,akiongoza Ujumbe wa Wabunge hilo walipofika Ikulu
Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais,kutokana na msiba wa ajali ya
Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es
Salam na kuelekea Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Anne Makinda,pamoja na Ujumbe Wabunge aliofuatana nao wakati
walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais,kutokana na
msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi
Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar. [Picha zote na Ramadhan
Othman,Ikulu.]