Mwigizaji
mwenye mbwembwe nyingi kutoka ndani ya tasnia ya filamu Bongo
Christina Manongi 'Sintah' amemtaka video queen wa Bongo Agness Gerald
Masogange kufunga bakuli lake (kunyamza kimya) na kuacha kumapakazia
meneno machafu kwenye vyombo vya habari.
Akizungumza
na mwandishi wetu mapema leo Sintah amesema kuwa amesikitishwa sana
na kitendo cha Agness kumtaja yeye (Sintah) kuwa ndiye anahusika na
kuisambaza kwenye mitandao video inayomuonyesha Agness akiwa mtupu
huku pia akionekana kufanaya matendo kadhaa ya kingono.
"Nimemsikia
na isitoshe kuna watu wengi wameniambia juu ya hilo la kunitukana na
kunitaja redioni kuwa nahusika, mimi sijui lolote awaulize marafiki
zake ambao mimi naamini ndiyo wanahusika kuzisambaza kwani hata kwenye
BBM yangu ni wao ndiyo walinitumia namuomba afunge bakuli lake la
siivyo nitazitoa zaidi kwani ninazo pati wani mpaka 3 na zote
nimetumiwa na marafiki zake ambao yeye anacheka nao lakini hajui kama
ni ma-sn***ch" alisema Sintah
Akiendelea
zaidi Sintah amefunguka kuwa kamwe hajui lolote kuhusu kamera
anayoisma Agnes, kwani binafasi hajawahi kukutana naye na alimjua
kupitia nyimbo za wasanii wa Bongo Fleva kwa kuwa msichana huyo
anapenda kuuza sura na zaidi hajui hata anapokaa.