WEMA SEPETU NA MARTIN KADINDA NDANI YA PENZI JIPYA???
Wote tunafahamu kuwa Martin Kadinda ni meneja wa Wema Sepetu na
wamekuwa na ukaribu kwa kipindi kirefu.
Lakini hizi picha alizozipost
Martin kupitia Instagram hivi karibuni akiwa na Wema huko Afrika Kusini
zimeanza kuleta minong’ono.Je, ni wapenzi au marafiki tu??ukiziangalia hizi picha namaeezo yakeutagundua kitu....!!!
Katika picha hiyo juu Martin aliiandikia, “I Heart em moments… She is spoiling me in a way I can’t say thank you and be enough.”
Katika picha hii Martin ameandika: Sisi ni washwiiiity………. She always say that….
Hapa
ameandika: #InstaTrueLove…. I loove this Gurl…. She is so pure and
Ril…… Kila mtu anakasoro zake… Wema wake ni zaidi ya kasoro zake….
@wemasepetu love kimaria maria 4d