"MI NAJITUMA KWA BIDII..Q-CHIEF ANAKAA NA KUVUTA BANGI HALAFU ANADAI NATUMIA NYOTA YAKE....NAOMBA ANIKOME"...DIAMOND
Hii ni kauli ya msanii Diamond kuhusu Q chief: mi nafanya kazi, mazoezi na dancers, nahangaika kutafuta sare,
kuandika nyimbo nzuri, wakati nafanya yote hayo we unakula unga, halafu
unakuja kusema nasafiria nyota yako, nisafirie nyota ya mla unga? mi
staki, staki, agombane na wakubwa wenzake kina dully mi aniache na
wadogo wenzangu staki...?