Mama mmoja mwenye umri wa miaka 26 ameusikitisha umma wa watu pale alipommwagia maji ya
moto mtoto wake wa kike.......
Mwanamama
huyo bado anashikiliwa na POLISI kwaajili ya maelezo zaidi na
wanaharakati wa kutetea haki za watoto wameonekana kulivalia njuga swala
hili kwa kutangaza kumfungulia kesi mwanamama huyo.